Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Hafla ya maadhimisho ya Siku ya Mwenyezi Mungu (Yawmullah) 9 Dey (30 Desemba), iliyojikita katika kuimarisha uelewa (basira) na kulinda thamani za Mapinduzi ya Kiislamu, ilifanyika leo asubuhi, Jumanne, kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa mapinduzi pamoja na viongozi na maafisa, katika Uwanja wa Mapinduzi (Meydan-e Enqelab) jijini Isfahan.
31 Desemba 2025 - 23:39
News ID: 1768409

Your Comment